update

Marekebisho ya Kanuni za Kijamii 2020

Tunapotathmini Kanuni za Kijamii, tunauliza Kanisa la Umoja wa Kimethodisti (UMC) kupima maudhui.


Bonyeza hapa kwa lugha ya: Kifaransa / Kipochogia / Kiingereza

Marekebisho ya Kanuni za Kijamii yameendelea Kwa muda wa miaka minane sasa. Marekebisho haya yalianzishwa kutokana na ombi kutoka Kongamano Kuu, Bodi la Kanisa, na Jamii (gbcs) Wamefanya mradi huu kuwa mradi wa Kimataifa na wanatarajia kuwakilisha rasimu ya mwisho ya mazingatio kwa Kongamano Kuu Mwaka wa 2020.

Kongamano Kuu limepea Kanisa na Jamii kazi ya kutathmini na kurekebisha Kanuni za Kijamii. Lengo la Bodi ni kufanya Kanuni za Kijamii zilizorekebishwa ziwe:

  1. Kwa maneno machache yanayo eleweka
  2. Katika misingi ya Kitheologia na
  3. kwa umuhimu wa kimataifa zaidi.

Sasa kwamba rasimu imekamilika, Umoja wa Kimethodisti, katika uunganisho wote, wanakualika kupima na kutoa maoni Juu ya maudhui haya. Tafadhali soma hati hii na ujaze utafiti uliofanywa hapa chini. Majibu na maoni yako yatakusanywa na yataweza kushawishi rasimu ya mwisho iliyowakilishwa kwa Kongamano kuu.

Rasimu ya Kanuni za Kijamii zilizorekebishwa

Bofya hapa kupakua rasimu ya Kiswahili ya Kanuni za Kijamii zilizorekebishwa

Kumbuka: Somo la jinsia ya kibinadamu litashughulikiwa katika Kanuni za Kijamii baada ya kumalizika kikao kilichoitwa cha Kongamano Kuu 2019. Bodi la Kanisa na jamii litaelezwa jitihada za pamoja za Tume ya faragha, Baraza la Maaskofu, na Kongamano Kuu. Kufuatia kikao kilichoitwa cha Kongamano Kuu mwaka 2019, lugha zitatafsiriwa kwa maandalizi ya Kongamano Kuu ya 2020